Blogger Widgets

July 16, 2013

Mcheck KINANA demu wa T.I.D Ambaye Katangaza Kufunga Nae Harusi Hivi Karibuni


Kila utakayemuuliza kuhusiana na relationship status ya artist wa singo za “Zeze”, “Kiuno” na “Make Me Higher” ambaye pia ni prezidaa wa Top Band atakuambia jamaa is engaged to his long time girlfriend aitwaye Kinana Seif.
Siku chache baada ya TID whose real name is Khalid Mohamed baada ya kumvisha pete demu wake huyo, ali-hoolar kupitia kwenye OK Magazine (magazine pacha wa BaabKUBWA) kwamba wedding
bells kati ya wawili hao zingesikika very soon but unaambiwa hadi sasa yakaribia miaka miwili kukiwahakuna cha ndoa wala nini.

Mnyama TID alipovutiwa waya na muwindaji wa BK ili kujua kama ndoa ipo au imeyeyuka hata kabla ya vikao this is what he said, “Mzee hakuna kitu kama hicho, watu wanaongea mitaani kuwa
nilikuwa naigiza kumvisha sukari wa moyo wangu Kinana pete, I wanna tell them that the girl is mine, wanataka kuona ndoa kwa kunipangia au? Waambie sipangiwi, I always arrange my
moves na si vingnevyo”.
And alipoulizwa harusi lini ilikuwa hivi, “Kwa sasa Kinana anamalizia semester yake ya Sheria kule Urusi and natarajia kwenda kuungana nae kwenye graduation yake mwezi wa tisa na
tutakaporejea tu michakato ya kuoana itakuwa inapamba moto na Insha’Allah kama Allah ataajalia mwishoni mwa mwaka huu naweka kitu ndani”, TID told BK.
  From: BABKUBWA MAGAZINE