Blogger Widgets

July 16, 2013

Msanii Dude akiwa Location Kwa jiri Ya Video ya YAHAYA ya Lady Jay Dee

Vipi kama Dude aliyejichukulia umaarufu kwenye mchezo wa ‘Bongo Dar es Salaam’ kwa tabia yake ya utapeli akiigiza kama Yahaya kwenye wimbo wa Lady Jaydee wenye jina hilo?
BPOjftvCAAADbRc Yahaya akifanya yake (utapeli)

Nahisi jamaa anafit kwendana na kile kinachoimbwa na Lady Jaydee kwenye wimbo huo na bila shaka video hii itavunja mbavu wengi.

BPOjDOhCcAADqCO Yahaya (Dude) akiwa Gym
Video hiyo imefanywa na kampuni ya Kenya ya Ogopa Videos. Jaydee ameshare baadhi ya picha za behind the scenes kupitia Twitter.
31

41
Dude ameiambia Bongo5 leo kuwa wameanza kushoot video ya Lady JayDee Yahaya tangu jana na pia bado wanaendelea. Location ikiwa Nyumbani Lounge na kwingine.
From:Bongo5