Blogger Widgets

July 7, 2013

Msanii LULU MICHAEL ashinda Tuzo ya Muigizaji Bora wa Kike

 nyota ya Lulu inazidi kung'aa na jana usiku aliibuka mshinda kwenye ZIFF na kupata tuzo ya muigizaji bora wa kike katika filamu za kiswahili.


 Hongera sana kwa Lulu na tunamtakia kila la kheri huko mbeleni.