Blogger Widgets

July 18, 2013

Picha Ikionesha Jinsi Muendelezo wa Maandalizi ya Video Mpy ya Lady Jay Dee "YAHAYA"


Moja ya picha inayomuonyesha msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Judith Wambura 'Lady Jaydee' a.k.a Anaconda akiwa katika maandalizi ya kutengeneza video yake ya nyimbo ya Yahaya ambayo hivi sasa wimbo huo unazidi kupata umaarufu