Blogger Widgets

July 15, 2013

Picha Ikionesha Jinsi P funk Majani na Kajala Walivyokutana Kwa Pamoja wakisherekea Birthday ya Mtoto wao Paula

KAJALA USO KWA USO NA P FUNK!!!

 
Happy Birthday, Paula
Leo ni siku ya kuzaliwa ya mtoto wa kwanza wa producer Paul Matthysse aka P-Funk Majani aliyezaa na aliyekuwa mchumba wake Kajala Masanja.
 
Wazazi hao wamemtembelea mtoto wao shuleni na kupiga naye picha.
Kupitia Instagram, Kajala ameshare picha kadhaa zinamuonesha akiwa na Majani, binti yao Paula na Wema Sepetu.

Kajala amemwandikia ujumbe mtamu binti yake akisema: 
HAPPY BIRTHDAY my darling, my heartbeat, da reasonto whythez always a smile abt…ur my right hand, my sweetheart, my number one, my beautiful daughter…..mummy loves u sooo much sweet angel….and I pray to god to keep u for a long long tym… u will live to blow a hundred candles my precious…