Blogger Widgets

July 13, 2013

Picha Mbalimbali za Muonekano Mpya wa Nick Minaj Anaoutaka Sasa Hivi

Aliyekuwa jaji wa American Idol msimu uliopita Nicki Minaj amefunguka mambo kadhaa kuhusu maisha yake ikiwa ni pamoja na nia yake ya kutaka kupata mtoto.
Nicki minaj marie cover
Minaj ametokea katika ukurasa wa mbele wa jarida la Marie Claire kama ‘cover girl’ katika toleo la (August) mwaka huu, na kuweka historia kwa kuwa rapper wa kwanza kutokea katika cover ya jarida hilo.
Rapper huyo mwenye miaka 30 amefunguka mambo mbalimbali yanayohusu maisha yake pamoja na muziki katika toleo la (August) la jarida hilo:
Kuhusu kuwa mama:
Amesema anataka kuwa mama siku moja, na anataka kuanza kuwa mwanamke anayetaka awe mzazi wa mwanaye.
“I want to be a mom one day, and I want to start becoming the woman who I want to parent my child.’ I wanted all of the feelings of entitlement to leave me, because some people have this life for a year or five or 10 – and a lot of them lose it. I didn’t want to become a person who wasn’t enjoying the moment.”
Ushauri wake kwa wanawake kuhusu wanaume:
Minaj amewashauri wanawake wasihangaike na wanaume badala yake wazingatie elimu kwanza, na kuongeza kuwa wanaume wanapenda wanawake wanaojitegemea. Alisema wanaume huwa ni watoto mioyoni mwao, hupenda kubembelezwa kama mbwa.
“Don’t chase any man. Put your school first. Men love independent women. You don’t have to be a b*tch, but there’s nothing wrong with it at times. And: Men are kids at heart. They want to be nourished and pet like a dog”.
Kuhusiana na American Idol:
Alisema mtazamo wa watu kuhusu yeye ulibadilika kabisa baada ya kuwa jaji wa American Idol kwasababu ilionyesha uhalisia zaidi wa jinsi alivyo.
“The perception that people had of me completely changed because there are no cue cards, there’s no script, and it wasn’t me performing a song. It was, ‘Let’s see your real personality. My core is a genuine human being who roots for other people. I didn’t want to blow smoke up their ass. I wanted every contestant to leave with something that they could remember”.
Kuhusiana na muziki:
Alisema mpango wake ni kufanya album tatu zingine kama ataweza kabla hajaamua kuupa kisogo muziki, na siku moja akianza kupata mvi anadhani atajihusisha na uigizaji peke yake.
“I at least want to do three more albums. If I can do that, I’ll feel complete. One day, when I start getting a couple of gray hairs, maybe it will all be only acting. I just never know … I’ve kind of become the poster child for doing the things that no one expects.”
Hizi ni baadhi ya picha alizopiga kwaajili ya jarida hilo toleo la (August)
Nicki-1
Nicki-3

Nicki-2