Blogger Widgets

July 28, 2013

Picha ya Mwanachuo Wa Kike Aliyekutwa Amefariki Akiwa Kaanguka Sakafuni Kwenye Nyumba Ya Kulala Wageni
Msichana Aliyetambuliwa kwa jina la Florence Ngwu, Mwanafunzi katika chuo kikuu cha Nigeria Amepatwa na Umauti Katika Hotel Moja Mjini Lagos, Nigeria. Mwili wa Msichana Huyo Ulikutwa sakafuni.

Mpaka Sasa hakuna taarifa za ziada zilizotolewa, pia haijajulikana ni kitu gani kilimtoa Chuoni na Kwenda Lagos.