Blogger Widgets

July 28, 2013

Picha ya Ndege aliyebadilika Kuwa Mwanamke Baada ya Kuanguka Akiwa na Ndege Wenzake Watatu wakiwa wanapeperuka

Ndege Abadilika na kuwa Binadamu baada ya Kudondoka Chini Mchana Kweupee!!!

-->

Walioshuhudia tukio hilo wamesema ilikuwa kama sinema au mchezo wa kuigiza kwani walikuwa ndege watatu wanapaa angani, ghafla mmoja akadondoka na akatumbukia katika ki mfereji cha maji, hapo ndipo alipojaza watu kwani alibadilika kutoka kuwa ndege na kuwa binadamu.

Ilibidi polisi waingilie kati na kumchukua mwanamke huyo ambaye alijieleza ya kwamba anatokea Ikole na Ni Mkazi wa Jimbo hilo la Ekiti Huko Nigeria.


Polisi hawaamini uchawi, sijui suala la mwanamke huyo watalishughulikiaje!!!!