Blogger Widgets

July 1, 2013

Picha ya Zamaradi Mtetema Akiwa anafanya Interview na Lulu Kwa Mara ya Kwanza

Hatimaye mwanadada Elizabeth Michael a.k.a Lulu amefanya interview yake ya kwanza rasmi baada ya kipindi cha takribani mwaka mmoja na nusu toka atoke jela.
Katika kipindi hicho kitakachorushwa hivi karibuni lulu ameongelea mambo mengi sana hasahasa experience yake ya maisha ya jela na mambo mengine mengi.
Naye Lulu kupitia mtandao mmoja wa kijamii aliandika.
“Kwa zaidi ya mwaka na nusu sasa!!!hii ni interview yangu ya kwanza baada ya kipindi chote hicho....thanks zamaradi….”
Unahisi ameongelea mambo gani mengine? Tupe maoni yako