Blogger Widgets

July 18, 2013

PICHA:Rihanna Aamua Kuvua Nguo Tena Kutangaza Perfum Hii Mpya

Mwanadada Rihanna amekuwa katika orodha ya Maceleb ambao kila wakati wamekuwa gumzo kwa mambo wanayoyafanya, safari hii mwanadada huyu ameamua kutangaza unyunyu ama perfume yake mpya ambayo imetoka mwaka huu, ambapo katika picha hii sehemu kubwa ya mwili wake inaonekana ikiwa wazi, kitu ambacho kimekuwa kikiwakera na kwa upande mwingine kuwafurahisha watu ambao wanamfuatilia mwanadada huyu.

Tazama hapa picha mpya kabisa za tangazo la bidhaa hii [Rogue] kwaajili ya wanawake ambayo mahesabu yanaweka wazi kuwa bei yake kwa pesa za kitanzania ni sawa na shilingi 111,607/-Tshs.


Hizi pia ni perfume nyingine ambazo Rihanna amekwishawahi kutoa pamoja na miaka ambayo aliziingiza kwenye market.