Blogger Widgets

July 13, 2013

Sababu aliyoitoa Msanii Ney wa Mitego Mpaka Mimba ya Mpenzi Wake Ikaharibika na Kutoka

Nay wa Mitego leo anasherehekea siku ya kuzaliwa ya mchumba wake aliyekuwa mjamzito kwa huzuni mkubwa baada ya mchumba wake huyo kukipoteza kichanga chao kufuatia kuanguka jana usiku.Jana usiku mke wangu alianguka, alifikia tumbo kwahiyo akawa anasikia kizunguzungu nilipompeleka hospitali daktari akasema mtoto amekufa,” Nay ameiambia
Awali, Nay wa Mitego ameweka picha ya mchumba wake kwenye Instagram akiwa hospitali na kuandika: Happy bday my lv, Mungu akupe maisha marefu na yenye mafanikio tele. Japo imekukuta uko vibaya tumempoteza kijacho but ni mipango ya mungu, nakupenda sana mke..!! #966# happy bday 2u ma.”
From:Bongo5