Blogger Widgets

July 17, 2013

Sikiliza Hii Skendo ya Mr.Blue, adaiwa kumrubuni mfanya usafi wa hoteli kuiba mabegi yake baada ya kuzuiwa reception kwa kushindwa kulipa 40,000
Kupitia U heard ya jana, inasemekana msanii Mr Blue amrubuni mfanya usafi wa hoteli inayoitwa Chriss, iliyoko Tarime, baada ya kuzuiwa kwa mabegi yake kwa kushindwa kulipa deni la shilingi elfu 40,000, inasemekana Mr Blue aliamua kucheza dili na mfanya usafi ili aende akamtolee mabegi yake na kumpa mtonyo kidogo, ambae alifanya hivyo na Blue kufanikiwa kuondoka bila kulipa deni hilo, kitu kilichosababisha mfanya usafi huyo kufukuzwa kazi..... Msikilize Gossip Cop hapo chini