Blogger Widgets

July 24, 2013

Ulishawahi Kujiuliza Hizi Swaga Zinamaanisha Nini? Alianza Lil Wayne Akafata Rihanna Akafuata Rihanna na Tyson Kibongobongo Anazo Penny wa Diamond na Nyando Tozi

dada yenu nayee yumo
kali kuliko zotee
khaa kama pappy 
Tonto

Eeeeh mbwembwee sijui swagga, mambo ya kuacha ulimi wazi,  si hapa tu bali hata kule tunapo copy na ku paste pia kitendo hiki kinafanyika. enjoy ulimi nje.