Blogger Widgets

August 11, 2013

Angalia Jeraha Alilopata Shekhe Ponda Lilivyoonekana Baada ya Kufika MuhimbiliKATIBU WA JUMUIYA ZA KIISLAMU TANZANIA  SHEKHE ISSA PONDA NI KWELI HAPO JANA NA KWASASA YUPO HOSPITALI YA  RUFAA YA MUHIMBILI KWA MATIBABU ZAIDI NA SI KWELI KAMA YUPO CHINI YA ULINZI WA POLISI KAMA  SMS MBALIMBALI KUPITIA SIMU ZA VIGANJANI ZINAVYOSAMBAZWA.PIA JUMUIYA NA TAASISI YA KIISLAMU TANZANIA LEO BAADA YA SWALA YA ALASIRI KATIKA MSIKITI WA MTAMBANI KINONDONI ILITARAJIWA KUTOA  TAMKO KUHUSIANA NA TUKIO HILO.
SHEKHE ISSA PONDA AKIUGUZWA MUHIMBILI
SEHEMU ALIYOJERUHIWA  SHEKHE ISSA PONDA