Blogger Widgets

August 11, 2013

Check Ommy Dimpoz Alivyopokelewa Burundi...Fully Shangwe

OMMY DIMPOZI KATISHAAA....APOKELEWA KAMA MFALME BURUNDI CHEKI PICHA HAPA

Ommy Dimpoz licha ya kukwama kwa muda kidogo kwenye Airport ya Jomo Kenyatta, hatimaye aliweza kufika nchini Burundi na kufanya show. Baada ya kufika Burundi,  njiani kuelekea kwenye show Ommy Dimpoz alifuatwa na kundi kubwa la watu wakifuatilia gari lake huku yeye akiwapungia mkono. Cheki hii picha kutoka kwake mwenyewe Ommy Dimpozommy