Blogger Widgets

August 28, 2013

Check Picha Jinsi AY, Mwana FA, Snare,Buff G na Pauline Zongoe leo Wakiwa wameungana kumpa support King Crazy GK aliyekuwa akitambulisha ngoma yake mpya na ujio wake baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu Ndani ya XXL

AY, Mwana FA, Snare,Buff G na Pauline Zongo wote leo wameungana kumpa support King Crazy GK aliyekuwa akitambulisha ngoma yake mpya na ujio wake baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu. Ngoma hiyo imetambulishwa kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM.
bd199e3e0fdf11e39ad222000a1f97a2_7
ECT wakiwa na watangazaji wa XXL, Clouds FM

BSwb0VgIMAEKJp_
GK akiongea

b3c7036c0fdf11e387e522000a1fbae1_7