Blogger Widgets

August 8, 2013

Check Picha Jinsi Msanii Diamond Platnuma Akiwa anashoot Tangazo La Cocacola

Ukimpigia simu na Diamond Platnumz na isipokelewe, usimind sana, sababu hafanyi makusudi, anakimbizana na schedule za kupiga hela tu.
b2944eee000a11e3bbe622000a9f1270_7
Baada ya jana Cocacola kumchukulia private jet toka Nairobi hadi Dar es Salaam, Bongo Flava Prince, Nasib ameingia mzigoni kushoot tangazo jipya la Cocacola. Kwenye picha za utengenezaji wa tangazo hilo alizoziweka kwenye Instagram, Diamond anaonekana akitembea huku akinywa soda hiyo.
e1e482d8000811e3a91a22000a9e089b_7