Blogger Widgets

August 28, 2013

Check Picha Nzuri za Behind The Scene ya Video Mpya ya Barnaba na Amini Inayoitwa "WHY ME"
   Hizi ni baadhi ya picha za video ya wimbo "why me" kutoka kundi la GEMENIH linaloundwa na wasanii wawili wa Bongo Flava (Barnaba & Amini) inayotarajiwa kutoka mapema ijumaa wiki hii.Mashabiki wa GEMENIH hii video kali sio ya kuikosa kabisa kaeni mkao wa kula ijumaa itakua hewani mnaombwa kuwaunga mkono kwa kazi hii na nyingine wanazozifanya.Akiongea na mtandao huu leo asubuhi meneja wa kundi ndugu Moses Clemence alisema kwamba " Ni kweli video ya why me imeshakamilika inatarajiwa kutoka rasmi ijumaa wiki hii,video ni nzuri sana tunawaomba mashabiki wetu waweze kuipokea kwa mikono miwili"