Blogger Widgets

August 6, 2013

Check Picha ya Mwanafunzi wa Kike wa Chuo aliyeuwawa Baada ya Kulishwa Chakula Kilichotiwa Sumu na Mtu Aliyekutana nae Kwa Mara ya Kwanza Baada Ya Kuwa Anachati Nae Facebook Kwa Muda MrefuWito umetolewa kwa watoto wa kike kupunguza kwenda sehemu kukutana na watu wasiowafahamu au kwa kuwajua kwa uchache kupitia mitandao ya kijamii, hususan Face book ili kuepuka madhara ambayo siku za hivi karibuni yamekuwa yakiwakuta wengi.

Mwanafunzi huyo wa Shahada ya Sheria kutoka Abuja amefikwa na Umauti baada ya kula kinachosadikiwa kuwa sumu. Imeelezwa kuwa binti huyo alitoka chuoni na akamuaga room mate wake kwamba anakwenda kukutana na jamaa ambaye walikuwa wana chat kupitia face book, ingawa alikatazwa lakini aliamua kwenda tu.


Asubuhi yake ndo mwili ukagundulika ukiwa umetelekezwa barabarani.