Blogger Widgets

August 12, 2013

Check Picha za Madee Alivyotembelea Kaburi la ALbert Mangwea Mjini Morogoro

Msanii wa TIP TOP,Madee akiwa kwenye kaburi la Marehemu Ngwair Morogoro.Madee anasema alivyomaliza shoo alijisikia kupita na kufanya dua.