Blogger Widgets

August 3, 2013

Check Picha zote 40 Zikionesha Jinsi Mh. Jakaya Mrisho Kikwete Alivyopata Futuru na Wasanii Karibu wate wa Bongo.

Wasanii mbali mbali na watangazaji walipata kualikwa ikulu jijini Dar, kwa ajili ya kuftari na Mh Raisi pamoja na familia yake.mara baada ya kuftari Mh Kikwete aliongea mawili matatu ikiwa ni pamoja na kuwapa moyo wasanii kwa kuendeleza sanaa maana hata yeye anapenda kusikiliza miziki yao
B12
Fetty
Dj Mully B

Jafarai na inspector Haroon
Qchief na Babu Tale 
Mwasiti, Fetty na Shilole
Chege, Nyandu Tozi na Madee
Kassim Mganga
Adama Mchomvu
Ben Pol (wa pili kutoka kulia)
Linex (wa kwanza kulia)
Looking good MashAllah, TID, Jafarai na Z Anto
Mzee mkorofi, Suma Lee
hahahaa Mbwiga nae hakukosa
Shekh AY na Ali Kiba
Marlow na Sam Misago
Feruz na Fela
Lamar na P Funk
Quick kama sio yeye loooool 
Hemedi Phd
Adama Juma
Dogo Asley
King Crazy GK
Shilole