Blogger Widgets

August 3, 2013

EXCLUSIVE:Check Jinsi Chuo cha St.Joseph Kilivyoweka Atention za Watu Kwa Tukio Nililoshuhudia Live.KAMATA KAMATA

Kama Ulikuwa Hujui ni Kwamba Kulikuwa na Ligi Inafanyika Kwenye Chuo cha St.Joseph Campus ya Songea.Utata Ulikuja Ni Pale Ilipofika Fainali Kati ya Timu ya Kamata Kamata FC Mwaka wa Tatu Lecturel Hall A na Mwaka wa Pili
Ki Ukweli Mechi Ilikuwa Ngumu kwa Sababu Half Time wote  Salesale na Pia Kipindi cha Pili Dakika ya 90 walitoka Wote Sale.Utata Ulikuja Pale Ulipofika Muda wa Matuta a.k.a Penati ndio story na Woga Ulipoanzia Hapo
Ilikuwa Piga Ni Kupige.Wachezaji Wote 9 wa Timu Zote waliingiza Mikwaju kwenye Nyavu lakini Penati na KUmi Kwa Timu ya Mwaka pili ndio walifanya Mistake na Kuutoa Mpira Njee na Kufanya Timu ya Mwaka wa Tatu KAMATA KAMATA FC kuchukua Kombe
                                        Wachezaji wakiwa Uwanjani wanafanya Mazoezi
Keptain wa Kamatakamata Akiwa Anawapanga Wachezaji Kabla ya Mechi

Wachezaji wakiwa wanamsikiliza Keptain

Kamatakamata FC Wakiwa Wanasali
 
  
Adam Lamson a.k.a Papaa Akiwa Anajiandaa

Wapili ni Raisi wa Chuo Akiwa Anajiandaa na Mechi

Masistaa na Malectuler Wakiwa Wanasali Kabla ya Mechi

Wachezaji wakiwa wanasaliamiana na Wageni Rasmi
   Timu nNzima ya Kamatakamata Wakiwa Uwanjani kwa Picha ya Kwa Pamoja

Moja ya Kituko Kilichotokea Kwa Zombi Huyu

Manager wa Timu Ya Kamatakamata akiwa Uwanjani akicheck Kinachoendelea

Kocha wa Timu ya Kamata kamata Fc

Abuu Himself Akiwa Uwanjani Kuchukua Habari
   
Aluta Continua
  
Hapa Ndipo Gori la Ushindi Lilipoingia na Kuruhusu watu waote Kuingia Uwanjani
Timu Pinzani Ni Vinjana wa Mwaka wa Pili Degree
     
Baada ya Hapo Ni Mwendo wa Ngoma na Kucheza kama Live Band
Hapa Ndio Jukwaa Kukuu La Kombe la St.Joseph

 
Mgeni Rasmi Akiwa Anaongea

Gori Kipa Akiwa Anafurahia Baada ya Kuchua Hela ,Vyeti na Kombe