T.I.D akiwa katika uandaaji wa video yake ya RAHA ft. Profesa J..Video
hiyo inaandaliwa na kampuni ya FINE IMAGE VIDEOS ya hapa vijini dar es
salaam. kampuni hiyo ambayo inafanya vizuri katika uandaaji wa video
nchini ikiwa na vijana wabunifu watatu..MINZI MIMS(D.O.P), HANSCANA(Dir)
na LAURANT FJ(Video composer)
No comments:
Post a Comment