Blogger Widgets

August 30, 2013

Huyu Demu Maarufu wa Saloon Sinza Aibika Baada ya Picha ya Utupu Kusambaa Alipowaambia Rafiki Zake wampige Picha Ili aamtumie Mpenzi Wake Watsup


 
Kioja hiki kimetokea kwenye saloon moja sinza , demu ambae jina lake halikuweza kupatikana kirahisi ila inasemakena ni maarufu hapa mjini kwa kuwa company na wasanii wa bongo flava , alifika saloon na kuanza kuwaadhia wenzake kuwa anatoka na wasanii wakubwa hapa bongo na baada ya muda mfupi alifua nguo na kuomba kupigwa picha ili amtumie boy wake kwenye whats app...kila aliye kuwa pole saloon aliruhusiwa kupiga picha kwa simu yake bila shida......Hapo sasa sijui ni kutafuta KIKI ama nini?