Blogger Widgets

August 9, 2013

Lulu Aaamua Kufunguka Juu ya Pumba Ambazo Huwa wanazifanya Wasanii wa Bongo


lulux 
Shule ni kitu cha msingi sana kwa mtu yoyote hasa yule ambaye ni kioo cha jamii au kiongozi. Sasa muigizaji Lulu amechukua hatua zake kwenye hii ishu ya elimu pamoja na kusema maneno,”Gettin more knowledge…..!!!we have to learn….especially sisi celebrities wa bongo….wengi wetu tunaongeaga pumba sana in public…yan hatujui nini tuongee wapi!!!!juc an advice lakni…
lulu2lulu