Blogger Widgets

August 24, 2013

Mcheck Mtoto wa Kim na Kanye west

Kim Na Kanye West UtotoniBaada ya vyombo vya habari za burudani kusema kuwa familia ya Kanye West inaficha na kuzuia picha za mtoto wao North West, Hivi karibuni familia hio imetoa picha moja ya Baby North West kwenye twitter. Kim alitoa picha hii kupitia account yake ya twitter 


 
Huyu Ndio Baby North West