Msanii machachari wa muziki wa bongofleva/filamu Shilole akiimba huku
akiwa amebebwa na shabiki wake,huku shangwe na miluzi za mashabiki
zikiwa zimetawala kila kona.
Baadhi ya mashabiki waliojitokeza kucheza jukwaani,wakionesha umahiri
wao wa kukata nyonga mbele ya umati wa wakazi wa mji wa Tabora na
vitongoji vyake,waliojitokeza kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013
ndani ya uwanja wa Al-Hassan Mwinyi usiku huu.
Anajiita Raisi wa Manzese,kutoka kundi la Tip Top
Connections,atambulikae kwa jina la Madee akiwaimbisha mashabiki wake
wimbo wake wa NANI KAIBA POMBE YANGU,usiku huu kwenye tamasha la
Serengeti Fiesta 2013.
Mashabiki wakiitikia kwa pamoja huku mikono yao wakipunga hewani.
Mmoja wakali wa hip hop,Stamina akikamua jukwaani vilivyo usiku huu
mbele ya umati wa wakazi wa mji wa Tabora na vitongoji vyake
waliojitokeza kushuhudia makamuzi ya wasanii mbalimbali wa tamasha la
Serengeti Fiesta 2013.
bdul Kiba,msanii wa muziki wa bongofleva akiimba mbele ya umati mkubwa
wa wakazi wa mji wa Tabora waliojitokeza kwa wingi usiku huu kwenye
tamasha la Serengeti Fiesta 2013,linalofanyika kwenye uwanja wa
Al-Hassan Mwinyi mkoani humu.Tamasha hilo linaandaliwa na kampuni
bingwa ya Burudani hapa nchini,Prime Time Promotions Ltd kwa
kushirikiana na Clouds FM,na kudhaminiwa na kampuni ya bia ya Serengeti
kupitia kinywaji chake murua kabisa cha Serengeti Premium Lager.
Sehemu ya umati wa mji wa Tabora waliojitokeza kwa wingi usiku huu
kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013,linalofanyika kwenye uwanja wa
Al-Hassan Mwinyi mkoani humu.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya,Neylee akiimba kwa hisia mbele ya
wakazi wa mji wa Tabora waliojitokeza kwa wingi usiku huu kwenye tamasha
la Serengeti Fiesta 2013,linalofanyika kwenye uwanja wa Al-Hassan
Mwinyi mkoani humu.Tamasha hilo linaandaliwa na kampuni bingwa ya
Burudani hapa nchini,Prime Time Promotions Ltd kwa kushirikiana na
Clouds FM,na kudhaminiwa na kampuni ya bia ya Serengeti kupitia kinywaji
chake murua kabisa cha Serengeti Premium Lager.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya,Linah pichani kati akiwa na madensa
wake wakitumbuiza jukwaani usiku huu kwenye tamasha la Serengeti Fiesta
2013 ndani ya uwanja wa Al-Hassan Mwinyi mkoani humu.
Sehemu ya umati wa mji wa Tabora waliojitokeza kwa wingi usiku huu
kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013,linalofanyika kwenye uwanja wa
Al-Hassan Mwinyi mkoani humu.
Anaitwa Amin,mmoja wa wasanii mahiri akiwaimbisha mashabiki wake usiku
huu kwenye u kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013,linalofanyika
kwenye uwanja wa Al-Hassan Mwinyi mkoani humu. Tamasha hilo
linaandaliwa na kampuni bingwa ya Burudani hapa nchini,Prime Time
Promotions Ltd kwa kushirikiana na Clouds FM,na kudhaminiwa na kampuni
ya bia ya Serengeti kupitia kinywaji chake murua kabisa cha Serengeti
Premium Lager.
Wenyewe mashabiki waki wanamuita Baba Levo na yeye kabaki Levo kwenye
gemu ya muziki wa bongofleva,ndiye pichani Baba Levo akiwaimbisha
mashabiki wake usiku huu kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013 ndani
ya uwanja wa Al-Hassan Mwinyi mkoani Tabora.
Ni shwangwe tu usiku huu kwenye uwanja wa Al-Hassan Mwinyi mkoani Tabora.
Wakali wa kudansi kutoka THT,wakijulikana kwa jina la Makomanda
wakionesha umahiri wao wa kucheza jukwaani usiku huu kwenye tamasha la
Serengeti Fiesta 2013.
Wanamuita Mzee wa Masauti,Christian Bella akiwaimbisha mashabiki wake wa
muziki wa dansi usiku huu kwenye tamasha la Serengeti
Fiesta,liinalofanyika usiku huu kwenye uwanja wa Al-Hassan Mwinyi.
Sehemu ya umati wa wakazi wa mji wa Tabora waliojitokeza usiku huu
kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013 wakiwa wamewasha tochi za simu
zao wakiashiria kushoo love ya pamoja
Msanii wa muziki wa bongofleva,Rachael akicheza jukwaani na mmoja wa
madensa wake,huku mashabiki wake wakipiga mayowe ya shangwa kuonesha
kukunwa vilivyo na msanii huyo.
Sehemu ya umati wa mji wa Tabora waliojitokeza kwa wingi usiku huu
kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2013,linalofanyika kwenye uwanja wa
Al-Hassan Mwinyi mkoani humu.Tamasha hilo linaandaliwa na kampuni
bingwa ya Burudani hapa nchini,Prime Time Promotions Ltd kwa
kushirikiana na Clouds FM,na kudhaminiwa na kampuni ya bia ya Serengeti
kupitia kinywaji chake murua kabisa cha Serengeti Premium Lager.
No comments:
Post a Comment