Blogger Widgets

August 28, 2013

Muonekano wa Sehemu Ilivyobaki Baada ya Jana Samaki Samaki Kuuungua Yote


Baada ya thesuperstarstz kufika eneo la tukio lilifanikiwa kuona jinsi askari wa zima moto walivyokuwa wanajitaidi japo walishachelewa kwani moto ulishateketeza eneo lote .
Makachero  wa thesuperstarstz wakiwa eneo hilo la tukio walianza kumsaka mmiliki wa eneo lile ambae ni raia wa kigeni na alipopatikana alisema kwasasa hana chakuongea kwani hasara aliyoipata ni mungu tua ndio anajua


Askari wa Kikosi cha Zimamoto wakiendelea kuzima moto ulioteketeza baa ya Samaki Samaki iliyopo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam leo asubuhi.
Mwananchi akichukua baadhi ya matukio wakati moto ukiteketeza baa ya Samaki Samaki.
 
wananchi wakiangalia kwa umakini tukio zima wakati moto ukiteketeza baa ya Samaki Samaki.
Zimamoto wakitafakari jinsi ya kuzima moto huo.
Zimamoto wakizima moto katika gereji ya Xenco iliyopo jirani na baa iliyoteketea.
Wananchi wakishuhudia zoezi la uzimaji moto katika baa ya Samaki Samaki