Blogger Widgets

August 30, 2013

Nando Aamua Kutangaza Rasmi Kuhusu Mshindi wa Big Brother DILLISH

Nando ambaye anawindwa kama ndege na wasichana warembo wa Afrika wenye uchu na penzi lake, ameamua kutoficha hisia zake na kuzianika kwa mashabiki wake zaidi ya 19,000 wa Twitter

I think I'm inlove with the BBA Chase winner..!!!.....
Kwa urembo wa Dillish, hatumshangai Nando lakini habari mbaya kwake ni kwamba ameshachelewa kwakuwa Mnamibia huyo anaye wake tayari.

No comments:

Post a Comment