Blogger Widgets

August 9, 2013

Picha Zikimuonesha Irene Uwoya akiwa katika mavazi ya mafundi ujenzi akiandaa show yake....

Irene Uwoya ameshaanza mpango mzima wa kutembelea nyumba na kuzifanyia ukarabati akiwa kwenye harakati za ku-shoot show yake. Unaambiwa Irene kwenye show anaonekana kama mkandarasi kabisa akiwa amevaa overall na kofia ya wajenzi. Cheki hizi picha akiwa busy na crew yake wakiandaa show hiyo.......