Blogger Widgets

August 12, 2013

Picha Zilizozua Gumzo za Washiriki wa Big Brother.HII SASA NDIO NINI?Tabia ya Washiriki wa BBA 2012 kutoka Sierra Leone, Zainab Sheriff na Bbabalwa Mneno maaruf kama Berbs kutoka South Africa kubusiana Hadharani imetoa maswali yasiyo na majibu kwa wadau kwamba huenda wawili hao wakawa wanatabia ya usagaji.

Angalia Picha zaidi Chini halafu useme Mtazamo wako.

photo