Blogger Widgets

August 25, 2013

Shuhudia Kibali alichopewa Msanii Lulu Kwa Ajari ya Kulounch Movie Yake ya "Foolish Age" Baada ya Kupigwa MarufukuFoolish Age ni kazi mpya kutoka kwa Lulu itakayo tambulishwa na kuzinduliwa Dar es salaam tarehe 30 August 2013 Pale Mlimani City. Palikuwa na taarifa zisizo za ukweli kuwa filamu hii imesimamishwa na haitaonekana. Hizi sio Taarifa za ukweli. Ushaidi ndio huu, Lulu kapata Kibali Cha Kutoa Na Kuonyesha Filamu hii Ya Foolish Age.
From:Sammssago