Blogger Widgets

August 27, 2013

Tabiri Jinsi Uzinduzi wa Videoya Jux "UZURI WAKO" Video Iliyofanyika China na Kuzinduliwa Week Hii Ndani ya Bilcanas Kupitia Picha Hizi

jux3jux1jux4jux5jux2jux
 
Msanii wa Bongo Flava Jux anayefanya poa katika game la hapa Tzee kupitia nyimbo zake kibao na kupelekea fans wake kumkabali zaidi.
Baada ya kusafiri kwenda kufanyia video yake katika nchi ya China, sasa msanii huyo anatarajia kuizindua video ya wimbo ‘Uzuri wako’ siku ya Jumapili tarehe 1/9/2013 ndani ya Bilicanas, ikiwa pamoja na kusherekea siku yake ya kuzaliwa.
Wasanii watakao msindikiza Jux ni Vanesa Mdee, Quick Rocka, Izzo Bizness, Mirrow, na wasanii wengine kibao watakuepo.