Blogger Widgets

August 28, 2013

Tazama Picha Ikionesha Jinsi Baba Yake Wema Sepetu akiwa kalazwa Hospitali.Get Wel Soon

 
Baba wa Staa wa filamu za kibongo na Mkurugenzi wa kampuni ya Endless Film,Wema Sepetu,Mzee Isaac Sepetu amelazwa hospitalini baada ya kuugua.
 

Wema alipost picha ya baba yake akiwa amelazwa hospitali akiwa na mama yake,Mariam Sepetu huku akiandika
‘God pliz help my daddy sepetu get well soon.... love u daddy wa mimi’.


‘Mwenyezi mungu atakuafu daddy wangu... its a very hard seeing my daddy sick like this.... I need ur prayers aswell... love u daddy sepetu wangu’aliandika Wema.