Blogger Widgets

September 5, 2013

Check Feza Kessy anavyoendelea Ku Make Head Line Nchini BOTSWANA na Mpenzi wake Oneal

 
 
Cauple iliyokuwa ina mvuto kwenye shindano ya BBA‘The Chase’Feza Kessy wa Bongo na Oneil wa Botswana wameendelea kuuza magazeti nchini Botswana baada ya kuandikwa sana wiki hii.
 
Magazeti hayo yaliandika makala mbalimbali kuhusu wapenzi hao tangu wakiwa ndani ya mjengo hadi sasa Feza akiwa bado nchini humo kwa wiki kadhaa akiinjoi maisha na mpenzi wake Oniel.

 
Habari zinasema kuwa wapenzi hao wana mpango wa kufunga ndoa.