Blogger Widgets

September 13, 2013

Check Picha Kim Kardashin na Kanye West wakiwa wanakagua Mjengo wao wa Kifahari Kupita Maelezo Unaendea Mwisho

Familia ya Kanye West na Kim Kardashian inaonekana iko katika hatua za mwisho za kukamilisha ujenzi kabla ya kuhamia katika mjengo wao wenye thamani ya $11 million.
mjengo wa Kanye
Wazazi wa North West wakiwa ‘site’ wakisimamia ujenzi huo wa jumba lao kubwa la kifahari

Huu ndio mjengo wa Kanye West na Kim Kardashian
Mjengo wa kanye-2