Blogger Widgets

September 6, 2013

Duuh Kweli Millard Ayo Katoka Mbali...Nani Anakumbuka Hii Interview alifanya na Mr Blue Akimuhoji Baada ya Taarifa ya Kufariki kwa Mr. Blue Kipindi Hicho

Mr. Blue akiwa kwenye mahojiano na mtangazaji wa Radio One wa kipindi cha Milazo 101 Millard Ayo......katika mahojiano hayo Mr. Blue alisema kuwa yeye ni mzima wa afya na anaendelea na mipango yake ya maisha kama kawaida, ikiwa ni pamoja na kusoma kozi za Kiingereza za Kifaransa ili awe wa kimataifa zaidi katika ulimwengu wa sasa ambao ni kijiji kimoja, pia Mr Blue alisisitiza kumalizia nyumba yake ambayo anajenga huko maeneo ya Tabata na hatimaye aweze kuishi pamoja na mama yake ambaye anampenda sana.
So Mr Blue ni Mzima wa Afya