Blogger Widgets

September 11, 2013

Haya Sasa Huu Hapa Mjengo wa Madee Uliokamilika.NANI KAMWAGA POMBE YANGU????

Msanii kutoka kundi la Tip Top Connection “Madee” ametoa shukrani zake kwa Mungu kwa kufanikisha ujenzi wa nyumba yake iliyopo Mbezi ya Kimara,jijini Dar -Es-Salaam.
Msanii huyo alisema maneno haya na kupost hii picha na kusema maneno haya