Blogger Widgets

September 11, 2013

Hebu Check Picha Za Management Inayomsimamia Ray C Kwa Sasa Akiwa Studio,Huku Ruge Mutahaba,Huku Saidi Fella na Babu Talle.Pia Shuhudia Mashairi ya Nyimbo Yake Mpya

Haya wale wenye kiu na ujio mpya wa Ray C mnaweza kuanza kuandaa makoo yenu sababu chakula kimeshawekwa jikoni na muda si mrefu mnaweza kukaribishwa mezani.
Ray C studio
Ray C ameshea picha kadhaa akiwa studio na wadau mbalimbali akiwemo Bab Tale na Said Fella, na kama haitoshi ameweka mashairi ya wimbo wake ambao unaonekana ndio aliokuwa akiurekodi wakati anapiga picha hiyo na kuandika “Mashairi ya my new song…,its a very beautiful song…am sooooooo happy..Thank you Lord”.
Ray C lyrics

Unaweza kuyapitia na kuanza kutengeneza taswira ya kile kinachokuja kutoka kwa Rehema Chalamila amabaye anasubiriwa kama nguo ya Christmas au Idd kwa watoto.
Pia Ray C amesema album yake inakuja hivi karibuni.