Blogger Widgets

September 30, 2013

Huyu Ndio Amber Rose wa Nigeria Aliyetimiza Ndoto zake Baada ya Kukutana na Amber Rose Original

Mwanadada wa Nigeria Honey J. Wills anayependa kuitwa jina la Amber Rose mwishoni mwa wiki aliweza kutimiza ndoto hizo baada ya kukutana na mwanadada huyo katika mashindano ya Miss Earth.

Amber ambaye alikuwa amealikwa kwenye mashindano hayo na ndipo Honey alipopata nafasi ya kukutana naye pamoja na kupiga picha akiwa na mwanadada huyo.


Mwanadada huyo ambaye anajiita Amber Rose wa Nigeria kutokana na kufanana kwa maisha anayoishi wakati Amber ni mwanamitindo, video queen pia kwa upande wake yeye anajishughurisha na shughuri hizo