Blogger Widgets

September 24, 2013

Kuna Utata Kwani Hapa Kwa Diamond Platnum na Huyu Mtoto Mzuri


Jana Mambo kwenye Instagram mambo yalikuwa ni Diamond na Nadia tu picha kibao ..zao zikijadiliwa ...Huyo ni Mwanadada Nadia wa malaysia alipo Diamond kwa sasa akifanya show katika mapozi tofauti sehemu mbali mbali...Mpashaji wa habari hii ametuambia eti wanaitana mashemeji ....Mhh We Wasemaje kunani? au tuwaache walale?