Blogger Widgets

September 30, 2013

Msanii Toka Toka Kundi la Wateule Afariki Dunia



#BreakingNews #Fahamu Msanii Na Producer Wa Music Wa Bongo Fleva Na Reggae Mack Malik Simba Amefariki Dunia Dakika 30 Zilizo Pita. Kaka Wa Marehemu Msafiri Masharubu Ameniambnia Kuwa Alikuwa Akisumbuliwa Na Kuvimba Kwa Miguu Sana. Amefia Nyumbani Kwao Yombo. 


Mack Alikuwa Member wa Kundi la wateule na producer kwenye studio za Enrico Pale Sound Crafters. Tunazidi Kufuatilia Habari Zaidi

No comments:

Post a Comment