Blogger Widgets

September 22, 2013

Muonekano Mpya wa Msanii na Mshiriki wa Big Brother FEZA ESSY Baada ya Kutoka Botswana Kwa Mpenzi wake Oneal

 

Ni ngumu kama kufahamu kama amerudi kimoja ama ndio kaja kuchukua kabisa mizigo yake na kwenda kuishi na prince charming wake Oneal, lakini tunachojua ni kwamba Feza hana tena zile nywele nyekundu zilizokuwa kama utambulisho wake kwenye The Chase.
Baada ya tu ya kuona picha ya Feza inayomuonesha akiwa mitaa ya jiji la Dar, mstari huu ukanijiia kichwani, “I am gonna tell you what happened to you, you have a new hair…” Kwa sauti ya Deddy kwenye video ya Amani ya Moyo.
Feza katakata zaidi ama nini? Welcome back girl…