Blogger Widgets

September 5, 2013

Mwana Mitindo na Video Model Lisa Ajifungua Mtoto na Hizi ni Picha zake na Mtoto

 
Mwanamitindo na mwigizaji wa filamu za Kibongo Lisa Jensen amejifungua mtoto wa kike.
Lisa amepost picha ya mtoto wake kwenye mtandao wa instagram leo huku watu wengi wakimpongeza kwa kujifungua mtoto mzuri.

 
‘Mashallah congrats much much...n God bless katoto… My my my! What a cute lil lady. Congratulations dearie to you and hubby….Congratulations to you guys!! What a precious baby.’