Blogger Widgets

September 5, 2013

Picha Ikionesha Jinsi Lady Jay Dee alivyowasili Bagamoyo Kumfuata Khadija Kopa Wafanye Collabo ya Bonge la Nyimbo
Wanamuziki maarufu nchini wanaokubalika kwa mashabiki Lady Jaydee ambaye anaimba Bongofleva na Khadija Kopa anayeimba muziki wa Taarabu wanakuja wakiwa wote katika wimbo mmoja. kupitia mtandao mmoja wa kijamii
Jaydee aliandika hivi.............