Blogger Widgets

September 22, 2013

Picha na Muoneakano wa Mtangazaji wa Kiss FM Aliyefariki jana Kwenye Mashambulio ya AL -SHABAB

 
Mtangazaji wa habari katika kituo cha redio cha Kiss FM kwa jina la ''Ruhila Aditya'' ni miongoni mwa waliopoteza maisha yao katika shambulizi hilo.


PICHA enzi za
uhai wake ''Ruhila Aditya''