Blogger Widgets

September 30, 2013

Picha Nyingine ya Nick Minaj Iliyozua Gumzo Baada ya Kuweka akiwa anatembea Huku Matiti Yakiwa Wazi

BAADA ya kuonekana kwa picha za msanii maarufu nchini Marekani Nicki Minaj, zinazomuonesha kuvaa
nguo zilizoacha sehemu ya matiti wazi, aibuka na kudai kuwa hapendi kuvaa brazia.

Picha hizo zilizomuonesha sehemu hiyo zilisambaa kwenye mitandao mbalimbali zilizosababisha kuibua mjadala kwa badhi ya mashabiki wake juu ya kuacha sehemu hiyo.


Baadhi ya mashabiki wake walihisi ilikuwa ni bahati mbaya kuacha vile au makusudi kama walivyomzoea kuacha matiti yake wazi.


Picha hizo ambazo alizituma kwenye ukurasa wake wa Instagram ilionesha kuwa siyo bahati mbaya kuachia sehemu hiyo ya mwili wake.


Ambapo alithibitisha hilo kwenye moja ya mahojiano aliyoyafanya kwenye kipindi cha Ellen kuwa hapendi kuvaa Brazia na kudai kuwa ni nguo za kishetani 'Devil'