Blogger Widgets

September 5, 2013

Picha za Mpango wa AY na FA wakiwa Studio Nchini Kenya wakirecord Nyimbo classic ndani ya Studio za Decimal Media.

Nilikupa taarifa mapema week hii kuwa Mwana FA Na Ay watakwenda Kenya kufanya Kazi na producer Eric Musyoka wa Decimal Media. Well studio session imeanza jama usiku, Nimesikia mistari na beat ya Mwana Fa, Hio Joint Itakuwa Classic.