Blogger Widgets

September 5, 2013

Si Unajua Kama Madee anaachia Nyimbo Yake Mpya Ya Tema Mate Tumachape? Enjoy na Huu Muonekano wa TEMA MATE TUMCHAPE

Baada ya kufanya na wimbo wa 'Pombe Yangu' msanii Madee kutoka Tip Top Connection amesema yuko njiani kuachia ngoma yake mpya inayoenda kwa jina la 'Tema Mate Tuwachape' iliyofanyika pande za Mj Records produza akiwa ni Marco Chali.Kaa tayari kwaajili ya 'Tema Mate Tuwachape'.

HUU HAPA MZIGO MPYAAAAAAAA TOKA KWA MADEE(TIP TOP CONNECTION) AKA RAISI WA MANZESE

Written By Emmanuel Shilatu on Thursday, September 5, 2013 | 9:00 AM

Baada ya kufanya na wimbo wa 'Pombe Yangu' msanii Madee kutoka Tip Top Connection amesema yuko njiani kuachia ngoma yake mpya inayoenda kwa jina la 'Tema Mate Tuwachape' iliyofanyika pande za Mj Records produza akiwa ni Marco Chali.Kaa tayari kwaajili ya 'Tema Mate Tuwachape'.
- See more at: http://shiladeux.blogspot.com/2013/09/huu-hapa-mzigo-mpyaaaaaaaa-toka-kwa.html#sthash.smwXSR3j.dpuf