Blogger Widgets

September 11, 2013

Sikiliza Hapa Alichojibu Msanii Diamond Platnum Juu ya Shutuma Ya Kumuibia Msanii Dyna na Baba Level Wimbo wa Number One Pamoja na Shutuma ya Kumpa Mimba Mwanafunzi

Hatimaye Diamond Platnumz leo amejibu tuhuma kadhaa zilizokuwa zikimkabali ikiwemo ile ya Dayna Nyange kudai kuwa alitumia beat ya wimbo wake kurekodi wimbo wake unaotamba sasa, Number 1 na pia kuhusu Baba Levo kudai Diamond alimuibia chorus ya wimbo wake. Katika mahojiano na kipindi cha XXL cha Clouds FM, Diamond pia amejibu scandal kuhusu kumzalisha mwanafunzi iliyoandikwa na magazeti wiki iliyopita. Msikilize hapa akijibu.